Shirika liko katika Mchakato wa Ujenzi wa Jengo kubwa la kibiashara na la Kisasa. Katika eneo lake la DDC Kariakoo Mtaa wa Msimbazi na Mhonda. lenye ukubwa wa mita za mraba 2500. Jengo hilo Litakuwa na huduma za Madukamakubwa ya kisasa,migahawa,benki,kumbi mbalimbali ,supermarket,bureau de change ,Ofisi n.k
Shirika linakaribisha taasisi binafsi na za umma kuwekeza kwa pamoja katika Eneo hili lenye Mvuto wa Kibiashara Zaidi jiji Dar es salaam Tanzania.





