Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya DDC Mlalakuwa unaendelea kwa kasi kubwa, Kwa sasa mradi umefikia hatua ya kumwaga zege (slab) ya ghoropha ya kwanza Na tunatazamia kazi hii itakamilika hivi karibuni.Read more

Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya DDC Mlalakuwa unaendelea kwa kasi kubwa, Kwa sasa mradi umefikia hatua ya kumwaga zege (slab) ya ghoropha ya kwanza Na tunatazamia kazi hii itakamilika hivi karibuni.Read more
Shirika la Uchumi na Maendeleo la jiji la Dar es salaam ,Linaendelea na mradi wa upimaji wa viwanja kwanye eneo lake la Mabwepande jijini Dar es salaam Kutokana na Vikao na mikutano mbali mbali ya Viongozi na wanachi wa Mabwepande, Yamefikiwa Makubaliano ya Bei mpya ambayo ni TSH 3000 Kwa mita moja ya mraba. AidhaRead more
Bodi ya DDC imekagua Miradi Mbali mbali inayoendeshwa na Shirika,na Imeridhishwa na Jitihada zinazofanywa na Menejimenti katika kuhakisha Miradi hii Inasimamiwa kisasa na kwa weledi mkubwa na kuleta tija kwa Shirika.na kurudisha gawio Serikalini. Baadhi ya Miradi iliyotemebelewa ni : Mradi wa Ujenzi wa Jengo jipya la DDC Kariakoo Ujenzi wa Ofisi Mpya za DDCRead more
Shirika la Maendeleo la Jiji La Dar es salaam, linatazamia kuanza mradi wa Uboreshaji wa Eneo lake la DDC kariakoo ,kwa kuanza ujenzi wa Jengo jipya na La kisasa litakalokuwa na uwezo wa kuchukua Maduka Zaidi ya 500. Haya ni Maboresho makubwa kulingana na Jengo la sasa Lenye uwezo wa kuchukua Vibanda 94 Pekee. JengoRead more
UJENZI WA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA DDC-MLALAKUWA UNAENDELEA KWA KASI KUBWA
MRADI WA VIWANJA MABWEPANDE UNAENDELEA LIPIA SASA!
BODI YA DDC YAKAGUA MIRADI YARIDHISHWA NA MENEJIMENTI KATIKA USIMAMIZI
MABORESHO MAKUBWA KUANZA OCTOBA – DDC KARIAKOO KUJA NA MADUKA YA KISASAShirika la maendeleo na uchumi la Jiji la Dar es Salaam ni Shirika la umma lililoanzishwa na serikali mnamo tarehe 18/05/1971. Shirika liliundwa chini ya sheria ya makampuni namba 212 ya mwaka 1971 mpaka 1973 lililopowekwa chini ya sheria namba 16 ya mashirika ya maendeleo ya Wilaya(District Development Cooperation Act no 16).
Jumatatu – Ijumaa: 08:00 Asubuhi hadi 05:30 Jioni
Jumamosi – Jumapili: Tumefunga
ANUANI
Jengo la DDC Kariakoo karibu na kituo cha mwendokasi msimabazi B, Makutano ya Mtaa wa Msimbazi na Mhonda
BARUA PEPE: info@ddc.co.tz
SIMU: +255(0) 222 180 842