Shirika la Maendeleo la Jiji La Dar es salaam, linatazamia kuanza mradi wa Uboreshaji wa Eneo lake la DDC kariakoo ,kwa kuanza ujenzi wa Jengo jipya na La kisasa litakalokuwa na uwezo wa kuchukua Maduka Zaidi ya 500.
Haya ni Maboresho makubwa kulingana na Jengo la sasa Lenye uwezo wa kuchukua Vibanda 94 Pekee.
Jengo hili Litatoa Fursa za kibiashara na Uwekezaji kwa Wafanya Biashara Wakubwa na Wadogo, hivyo kupanua wigo wa Mapato kwa Shirika.
Aidha Jengo Hili litabadiisha Mandhari yaDDC Kariakoo na Kuifanya ya kupendeza Zaidi nay a kisasa.






Leave a Comment