Bodi ya DDC imekagua Miradi Mbali mbali inayoendeshwa na Shirika,na Imeridhishwa na Jitihada zinazofanywa na Menejimenti katika kuhakisha Miradi hii Inasimamiwa kisasa na kwa weledi mkubwa na kuleta tija kwa Shirika.na kurudisha gawio Serikalini.
Baadhi ya Miradi iliyotemebelewa ni :
- Mradi wa Ujenzi wa Jengo jipya la DDC Kariakoo
- Ujenzi wa Ofisi Mpya za DDC Mlalakuwa.
- Mradi Mpya wa Bar na Kumbi za Burudani DDCKEKO
- Ujenzi wa Uzio Kuzunguka Eneo la kiuwekezaji DDC Magomeni
- Ukarabati Mkubwa wa PAVEL GARAGE Kilwa Road






Leave a Comment