Shirika linapenda kuwatangazia wananchi wote wenye maeneo katika mradi wa DDC Mabwepande kuwa Bei mpya iliyoridhiwa kutumika katika uuzaji wa Viwanja Mabwepande ni TSH 3000 kwa Mita moja ya mraba. Hivyo wananchi wote wahimizwa kuchua “Control numbers ” na kufanya malipo katika muda uliopangwa.
