(Wanachama wote wa DDC SACCOS Wanataarifiwa kuwa sasa Saccoss imeanza kutoa mikopo kwa wanachama Wwake waliokamilisha Masharti na vigezo vya kupata mkopo. Aidha Mikopo yote itaombwa kupitia Mtandao na aplikesheni rasmi ya DDC SACCOS.
Imetolewa na Uongozi wa DDC SACCOS)
