Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya DDC Mlalakuwa unaendelea kwa kasi kubwa, Kwa sasa mradi umefikia hatua ya kumwaga zege (slab) ya ghoropha ya kwanza
Na tunatazamia kazi hii itakamilika hivi karibuni.

UJENZI WA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA DDC-MLALAKUWA UNAENDELEA KWA KASI KUBWA
MRADI WA VIWANJA MABWEPANDE UNAENDELEA LIPIA SASA!
BODI YA DDC YAKAGUA MIRADI YARIDHISHWA NA MENEJIMENTI KATIKA USIMAMIZI
MABORESHO MAKUBWA KUANZA OCTOBA – DDC KARIAKOO KUJA NA MADUKA YA KISASAShirika la maendeleo na uchumi la Jiji la Dar es Salaam ni Shirika la umma lililoanzishwa na serikali mnamo tarehe 18/05/1971. Shirika liliundwa chini ya sheria ya makampuni namba 212 ya mwaka 1971 mpaka 1973 lililopowekwa chini ya sheria namba 16 ya mashirika ya maendeleo ya Wilaya(District Development Cooperation Act no 16).
Jumatatu – Ijumaa: 08:00 Asubuhi hadi 05:30 Jioni
Jumamosi – Jumapili: Tumefunga
ANUANI
Jengo la DDC Kariakoo karibu na kituo cha mwendokasi msimabazi B, Makutano ya Mtaa wa Msimbazi na Mhonda
BARUA PEPE: info@ddc.co.tz
SIMU: +255(0) 222 180 842
Leave a Comment