(MADUKA NA KUMBI ZA BURUDANI)
Mradi huu una Maduka pamoja na kumbi za burudani zinazopangishwa ,Mradi unapatikana Makutano ya Mtaa wa Msimbazi/Mhonda na Congo/narungombe Kariakoo Dar es salaam. Eneo hili linajulikana kwa jina la DDC KARIAKOO.

(MADUKA NA KUMBI ZA BURUDANI)
Mradi huu una Maduka pamoja na kumbi za burudani zinazopangishwa ,Mradi unapatikana Makutano ya Mtaa wa Msimbazi/Mhonda na Congo/narungombe Kariakoo Dar es salaam. Eneo hili linajulikana kwa jina la DDC KARIAKOO.


(MADUKA BAR, NA OFISI)
Mradi huu una maduka Bar na Ofisi yanayopangishwa .Mradi unapatikana Eneo la mlimani njia panda ya Chuo kikuu.
Mradi huu ni wa ghorofa moja na bohari mbili ambao upo eneo la banda la ngozi Barabara ya Nyerere. Majengo yote yamepangishwa kwa mpangaji mmoja aitwaye JAMBO FREIGTH anayefanya biashara ya usafirishaji wa mizigo.


(MADUKA NA KUMBI ZA BURUDANI)
Mradi huu una maduka ya biashara na kumbi za burudani za kupangaisha kwaajili ya Matukio mbali mbali
Shamba hili lina ukubwa wa hekari 5,000 lipo eneo la Mabwepande Manispaa ya Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam. Shirika limebadilisha matumizi ya shamba hili na kupima viwanja kwaajili ya matumizi mbali mbali kama. Makazi, Biashara ,Viwanda ,Huduma za jamii na Maeneo ya wazi.

Shirika la maendeleo na uchumi la Jiji la Dar es Salaam ni Shirika la umma lililoanzishwa na serikali mnamo tarehe 18/05/1971. Shirika liliundwa chini ya sheria ya makampuni namba 212 ya mwaka 1971 mpaka 1973 lililopowekwa chini ya sheria namba 16 ya mashirika ya maendeleo ya Wilaya(District Development Cooperation Act no 16).
Jumatatu – Ijumaa: 08:00 Asubuhi hadi 05:30 Jioni
Jumamosi – Jumapili: Tumefunga
ANUANI
Jengo la DDC Kariakoo karibu na kituo cha mwendokasi msimabazi B, Makutano ya Mtaa wa Msimbazi na Mhonda
BARUA PEPE: info@ddc.co.tz
SIMU: +255(0) 222 180 842